Thursday, August 30, 2012

SEMINA YA HOW TO MAKE MONEY ONLINE YAFANA

Semina iliyofanyika wiki Hii jumamosi tarehe 25 Agust imefana sana,ambapo iliudhuriwa na watu wengi kutoka kada mbalimbali raia wa Tanzania na baadhi watanzania lakini walio nje ya nchi,Mwendeshaji na msimamizi wa semina hiyo Mr Deogratius kilawe amesa Amefurahishwa sana na mwitikio wa Watanzania kuanza kuchangamkia Semina mbalimbali ambazo lengo lake kuwapatia maarifa watanzania ili waweze pambana vema na utandawazi,Pia hii iemmpa motisha aweze fenya Tena semina wiki lijalo Hapo Hapo Mbezi garden Hotel Inayokwenda kwa Jina "how to improve your memory"(Jinsi ya kuboresha utunzaji wa kumbukumbu kichwani) Hii ni kutokana kuwepo na hii dunia ya watu kuwa busy na kazi Hivyo kama usipokuwa makini Unaweza sahau ahadi mbalimbali na mipango Hivyo maarifa yanahitajika ambapo wiki lijalo wazungumzaji watakuwa Dr Rugola Mtandu(medical doctor/masters degree holder) na Mr Shadrack Ntuha (Visionary)......PIGA WEKA NAFASI 0713751959/0755751959
Deogratius Kilawe akiwezesha semina hiyo hapa Mbezi Garden Hotel
 
 
 
Wadau waliohudhuria seminar wakichangia mada

 
Christopher Mosby (chriss mosby) akitoa mada kwenye semina
 
Gillsant mlaseko (Chief Marketing Officer – Popote media) akitoa mada

 
 



 
JE UNAFANYA KAZI MAKAMPUNI AMBAYO YAPO BUSY SANA?UNATAKA JUA MBINU ZA KUWEKA VEMA KUMBUKUMBU ILI UWEZE FANYA KAZI KWA UFANISI?USIKOSE TUKIO HILI... KWENYE HOTELI YA KIFAHARI SANA LANDMARK HOTEL 0717109362/0713751959/0755751959

JE UNAFANYA KAZI MAKAMPUNI AMBAYO YAPO BUSY SANA?UNATAKA JUA MBINU ZA KUWEKA VEMA KUMBUKUMBU ILI UWEZE FANYA KAZI KWA UFANISI?USIKOSE TUKIO HILI... KWENYE HOTELI YA KIFAHARI SANA LANDMARK HOTEL 0717109362/0713751959/0755751959

WEWE NI MWANAFUNZI?UNATAKA JUA MBINU ZA KUWEKA VEMA KUMBUKUMBU ILI UWEZE FANYA VEMA DARASANI KWA KIWANGO CHA AAAAA?USIKOSE TUKIO HILI... KWENYE HOTELI YA KIFAHARI SANA LANDMARK HOTEL 0717109362/0713751959/
0755751959
Do you wish you had better information management skills?
Do you have trouble remembering key information?
Do you feel stressed by forgetting things?
Do you fret about information overload?
This is for You call now 0717109362
/0713751959/0755751959